"WAMAMA KYSENI SISI SIO WACHAFU TUPENI MAJI"


Baadhi ya wakazi wa kijiji Cha kyaseni kata ya uru mashariki wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro  wakiwa katika mkutano wa hadhara wamelalamikia kukosa huduma ya maji safi na salama katika maeneo hayo hali ambayo wanadai inatishia usalama wa afya zao kutoka na kutumia maji ambayo sio safi 

wananchi hao wametoa kauli hiyo katika mkutano wa hadhara ambao wanadai  idadi kubwa ya wanawake kwenye kijiji hicho wanaonekana wachafu kutokana na kukosa huduma hiyo kwa muda mrefu Sasa.


samweli materu ni diwani wa uru mashariki ambae amekiri kuwepo kwa changamoto hiyo licha ya jitihada mbali mbali alizofanya ili kuwaondolea adha wananchi wa maeneo hayo.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

WAGOMBEA,WANACHAMA WA CCM VILIO JUU YA KURA ZA MAONI HAI

BARAZA LA ARDHI LAFUTA KESI YA ARDHI KUTOKANA NA DOSARI ZA KISHERIA

TAWIRI YAWAKARIBISHA WADAU KUFANYA TAFITI KATIKA SPISHI MUHIMU YA SOKWE