Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2024

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU ATOA RAHI UFANISI KATIKA UTOAJI WA ELIMU BORA

Picha
  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Charles Mahera amesema katika zama hizi za maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, Uhitaji wa matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji ni hitaji muhimu na lisiloepukika kwa ajili ya kurahisisha ufanisi katika utoaji Elimu bora. Ameyasema hayo leo Disemba 18, 2024, akimwakilisha katibu Mkuu Prof Carolyne Nombo Katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Matumizi Bora na salama ya vifaa vya TEHAMA na stadi za kidigitali kwa walimu wa Awali na Msingi  Dkt. Mahera amesema Serikali kupitia programu ya BOOST Serikali ina dhamira ya kusambaza vifaa vya TEHAMA katika Vituo vya Walimu au Shule teule zipatazo 800 na kwa awamu ya Kwanza, vifaa hivyo vya TEHAMA vimeshasambazwa katika Vituo 200 vikiwemo Vituo vya Walimu 57 na Shule Teule 143 nchini "Kwa mwaka huu Serikali kupitia Programu ya BOOST itanunua na kuweka vifaa vya TEHAMA katika Vituo vya Walimu na Shule Teule 600 zilizobaki ili kukamilisha Vituo vya Walimu/Shule Teule 800...

KAMISHNA MKUU WA TRA AWAPONGEZA WALIPA KODI WAKUBWA

Picha
KAMISAMA MKUU WA MAMLAKA YA MAPATO TRA AWAPONGEZA WALIPA KODI WAKUBWA YUSUPH MWENDA AMEWAPONGEZA WALIPA KODI WAKUBWA MKOANI MANYARA NA KUONGEZA KUWA MAMLAKA HIYO IKO TAYARI KUTATUA CHANGAMOTO ZAO ZA KIKODI ILI KUONGEZA WIGO WA ULIPA KODI NA KUCHANGIA MAENDELEO YA TAIFA. AKIZUNGUMZA MARA BAADA KUTEMBELEA KIWANDA CHA MATI SUPER BRANDS LTD AMBAO NI MIONGONI MWA WALIPA KODI WA KUBWA AMBAPO TRA IMEWAPATA TUZO YA HESHIMA NA KUTAMBUA MCHANGO WAO KATIKA KULIPA KODI ,KWA KUPINDI CHA MIEZI MITANO WAMEWEZA KULIPA BILIONI 5 KWA UPANDE WAKE MKURUGENZI WA KAMPUNI YA MATI SUPER BRANDS LIMITED DAVID MULOKOZI AMEIPONGEZA TRA KWA KUWA KARIBU NA WAFANYABIASHA HALI INAYOSAIDIA UKUAJI WA BAISHARA NYINGI.