KIKAO CHA KAWAIDA CHA BARAZA LA WAZAZI WILAYA YA ARUSHA


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Arusha Ally Mwinyimvua,amefungua kikao hicho cha Baraza la wazazi wilayani humu na kuwahasa jumuiya hiyo kuendeleza mshikamano na ushirikiano mkubwa kueleke uchaguzi mkuu 2025 kwa kuwa wamoja na kuyaacha mengine.



Pia Ameitaka jumuiya hiyo kuepuka chuki na kuacha kuchukiana wenyewe kwa wenyewee ilikuendelea kukijenga chama kuwa imara zaidi.




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

WAGOMBEA,WANACHAMA WA CCM VILIO JUU YA KURA ZA MAONI HAI

BARAZA LA ARDHI LAFUTA KESI YA ARDHI KUTOKANA NA DOSARI ZA KISHERIA

TAWIRI YAWAKARIBISHA WADAU KUFANYA TAFITI KATIKA SPISHI MUHIMU YA SOKWE