BINGWA WA MAGONJWA YA SARATANI KUTOKA HOSPITALI YA HCG IPO ARUSHA SASA

 


Habari njema kwa wakazi wote wa Arusha, Daktari bingwa wa magonjwa ya saratani kutoka hospitali ya HCG ya nchini India anakuja jijini Arusha kwenye kambi ya siku 2 ya magonjwa ya saratani, itakayoratibiwa na MedINCREDI kwa kushirikiana na hospitali ya NSK Hospitals

Kambi hii itakayofanyika kati ya tarehe 24/10/2024 kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni,na tarehe 25/10/2024 kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita na nusu mchana, itatoa nafasi ya wagonjwa wote wanaosumbuliwa na magonjwa ya saratani, kumuona daktari huyu bingwa kwa gharama ya shilingi 35,000/- tu.


Kwa mawasiliano zaidi 


0626 221 331

0786 524 323

0782 410 548





Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

WAGOMBEA,WANACHAMA WA CCM VILIO JUU YA KURA ZA MAONI HAI

BARAZA LA ARDHI LAFUTA KESI YA ARDHI KUTOKANA NA DOSARI ZA KISHERIA

TAWIRI YAWAKARIBISHA WADAU KUFANYA TAFITI KATIKA SPISHI MUHIMU YA SOKWE